emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Habari

    MENEJIMENTI YA WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI (GPSA) WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MEZA KUU IKIONGOZWA NA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB)

  • 31-Oct-2023

Menejimenti ya Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza Kuu ikiongozwa na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) baada ya kuzinduliwa mfumo wa GIMIS na majengo mapya ya GPSA katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage-Hazina jijini Dodoma.

Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-Maamry Mwamba.

Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya GPSA Bi. Dorothy Mwanyika na Afisa Mtendaji Mkuu wa GPSA Prof. Geraldine A. Rasheli.