emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

WAKALA WA HUDUMA YA UNUNUZI SERIKALINI

Ununuzi Unaozingatia Thamani

Albamu ya Video

UZINDUZI WA MFUMO WA GIMIS NA MAJENGO MAPYA YA GPSA SIKU YA JUMAMOSI 21/10/2023 JIJINI DODOMA

Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ulifanya uzinduzi wa mfumo jumuishi wa kielektroniki wa utoaji huduma za Wakala wa GIMIS pamoja na majengo mapya ya Mtumba(Dodoma), Pwani,Simiyu na Songwe siku ya Jumamosi tarehe 21/10/2023 jijini Dodoma uliofanywa na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt. Mwig...

Imewekwa: Nov 28, 2023

UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WA GPSA IKIWEMO UJENZI WA MFUMO WA UTOAJI HUDUMA ZA WAKALA WA GIMIS

UTEKELEZAJI WA MPANGO MKAKATI WA GPSA IKIWEMO UJENZI WA MFUMO WA UTOAJI HUDUMA ZA WAKALA WA GIMIS

Imewekwa: Oct 25, 2023

UZINDUZI WA MFUMO WA GIMIS NA MAJENGO (GPSA)

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma @ppra_tanzania kuhakikisha inaunganisha mfumo mpya wa kielektroniki wa Ununuzi wa Umma wa NeST na mfumo wa utoaji huduma za Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini wa GIMIS ili kurahisisha mchakato wa Un...

Imewekwa: Oct 24, 2023

HUDUMA YA UGOMBOAJI NA UONDOSHAJI MIZIGO KIDIJITALI KUPITIA GIMIS

Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) unapenda kuzikumbusha Taasisi zote za Umma ikiwemo miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali pamoja na wadau wake wa maendeleo kupata Huduma ya Ugomboaji na Uondoshaji wa Mizigo bandarini, mipakani pamoja na viwanja vya ndege kupitia GPSA.

Imewekwa: Feb 24, 2023

HOTUBA YA AFISA MTENDAJI MKUU PROF. GERALDINE A. RASHELI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA WAKALA KUTOKA NBAA

GPSA yaibuka mshindi wa tatu wa Uandaaji Hesabu kwa mwaka 2021 katika kipengele cha Taasisi za Umma iliyotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jana Jumatano 30/11/2022 katika hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

Imewekwa: Feb 24, 2023

NAMNA YA KUJIUNGA NA MFUMO JUMUISHI WA KIELEKTRONIKI WA WAKALA WA GIMIS

Hatua mbalimbali ambazo Taasisi Nunuzi inapaswa kujiunga katika mfumo huu ikiwemo kujaza fomu za kujiunga zinazopatikana katika tovuti ya Wakala ya www.gpsa.go.tz au katika ofisi za Wakala zilizoko mikoa yote Tanzania Bara.

Imewekwa: Feb 24, 2023